OFA YA MWAKA MPYA 2026
Tusua Academy ni kituo cha huduma za kitaaluma na kidijitali kinacholenga kuwasaidia wanafunzi, watafiti, na wataalamu kufanikisha malengo yao ya kielimu na kazi.
Tunatoa huduma bora na za kuaminika katika:
Huduma za Digital na ICT
Uandishi wa Kitaaluma na Utafiti
Mafunzo ya Kitaaluma na Kompyuta
Lengo letu ni kutoa msaada wenye ubora, kwa gharama nafuu, na kwa kuzingatia maadili ya kitaaluma.
Kwa nini uchague Tusua Academy?
Huduma za kitaalamu na zenye uhakika
Bei rafiki na wazi
Kuheshimu uadilifu wa kitaaluma
Kutoa matokeo yanayokidhi mahitaji ya mteja
Iwe wewe ni mwanafunzi, mtafiti, au mtaalamu, Tusua Academy ipo tayari kukusaidia.
📍 Mahali: Mazimbu – Morogoro
📞 Simu / WhatsApp: 0620 444 736
📧 Barua pepe: tusuaacademy@gmail.com
Tusua Academy – Kukuza Maarifa, Ujuzi na Suluhisho za Kidijitali.